Hata mimi nililiona, ila hawajaliweka sawa... hiyo 10% kwa mwezi mbona tutajaa wengi kama ni kweliNimesoma tangazo la Postal Bank katika gazeti la jana tarehe 28/7/2015, wanajinadi wanatoa 10% kwa mwezi, 11% kwa miezi 2 na 12% kwa miezi 3,hawakuweka kiwango cha fedha
hizi rates kwa sasa bado zipo kweli?Nimesoma tangazo la Postal Bank katika gazeti la jana tarehe 28/7/2015, wanajinadi wanatoa 10% kwa mwezi, 11% kwa miezi 2 na 12% kwa miezi 3,hawakuweka kiwango cha fedha
Nashauri kuanza kuwekeza kwenye stocks za ughaibuni kama apple nakadhalikaBora uwekeze kwenye hisa mkuu kuliko fixed deposit. Nimekuwa nafuatilia soko la hisa kuna baadhi ya makampuni hisa zao zimepanda bei Mara mbili katika kipindi cha mwaka mmoja
Hivyo kama utanunua hisa baada ya mwaka mmoja utaziuza kwa bei Mara mbili ya uliyo nunulia. Kwa maana nyingine ni sawa na kudouble hela yako kitu ambacho huwezi pata kwenye fixed deposit.