Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha na walikuwa wanaleta ligi na sisi.
Watoto na Vilaza wanaongezeka Jf
Ubaya wenu nyinyi Midanganyika ni kwamba mkiambiwa ukweli mnaanza matusi. You think that Tanzania is heaven on earth that can't lack anything. Mnatia huruma kweliWatoto na Vilaza wanaongezeka Jf
Ama kweli nyimwa vyote Usinyimwe Chakula
Ona sasa njaa inatuletea Vilaza JF
Izo barabara zilizoainishwa Ni zile zenye umuhimu zaidi japo mtandao unaweza kuongezwa kulingana na hali...kua na mtandao mkubwa haimaanishi kwamba ndio mko vizur...sasa apo Uganda siku wakiweza kuziweka barabara zao kiwango cha lami kwa sehemu tuliofikia sisi mje hapa
Barabara za Uganda ni za Hali ya juu hata mji mkuu wa Dar es Sluum hauna Kama zile. babayao255 weka Barabara za Tz za hadhi Kama au kuliko za Uganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu weka picha ya the best in Tz afu tulinganisheBarabara za lami Tz zinaweza kutandazwa kenya na Uganda pote kwa pamoja.
Watoto na Vilaza wanaongezeka Jf
Ama kweli nyimwa vyote Usinyimwe Chakula
Ona sasa njaa inatuletea Vilaza JF
Kuna mkenya mwenzao alipiga root ya kenya adi south, aka admit jinsi gani kafurahishwa na barabara za Tz from the start to the end, from town to rurals. Mayb hzo chanel zinahusisha hadi vichochoro ndo walipo tuzidi
Bajeti ya Kenya inaweza kutumiwa kuziendesha Tz na Uganda kwa pamoja ...and then some.Barabara za lami Tz zinaweza kutandazwa kenya na Uganda pote kwa pamoja.
More like hell on earth ndio unaona waTanzania wengi omba omba wamejaa Nairobi ,drug lord wa Tz wamejaa South Africana ndege zao zinakamatwa kote duniani.Ubaya wenu nyinyi Midanganyika ni kwamba mkiambiwa ukweli mnaanza matusi. You think that Tanzania is heaven on earth that can't lack anything. Mnatia huruma kweli
More like hell on earth ndio unaona waTanzania wengi omba omba wamejaa Nairobi ,drug lord wa Tz wamejaa South Africana ndege zao zinakamatwa kote duniani.