Interfaces ya mfumo wa TSCMIS sioni pa kujiunga, yaani "Register icon"

Interfaces ya mfumo wa TSCMIS sioni pa kujiunga, yaani "Register icon"

Cheology

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
384
Reaction score
601
Jamani msaada wenu mliojiunga

Naomba kujua wapi najiunga?

Screenshot_20240117_075147_Chrome.jpg

Kwa kawaida kuna eneo limeandikwa register here

Lkn hapo siooni
 
Ingiza cn Yako na password ya kuanzia Secret1234 Kisha gonga sign in
 
Back
Top Bottom