Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo.
1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania
2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake.
3.Leseni za biashara.
4.Alipe kodi za Pango na VAT
5.Kodi za zuio la pango
6.Usajili TIC
7.Kodi za mitambo na usafirishaji.
8.kodi ya mapato na VAT.
9.Service Levy.
10.Umeme, Zima moto, nssf, nhif, osha, maji na nk
12....

Mwekezaji akitaka kuvuka hivyo Vyote anzaa na IGA. IGA inenda bungeni then inasajili mkataba. Kodi zote ni mazungumzo baada ya hapo. Hakuna mbwa yoyote anakuja kuuliza kitu.

Haya ni mazo yako kama nionavyo.
 
Sion kweli, kodi lazima zilipwe kwa mujibu wa sheria ya kodi huska Income Tax 35% na VAT 18% hakuna sheria inayo zidi sheria nyingine / sema anaweza kupewa likiza ya kodi kwa mujibu wa sheria .
 
Back
Top Bottom