Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Huyu jamaa tangu alipochukua wizara ya ulinzi .alshabab walituliaa sana. Mmepoteza jembe
Poleni majirani
Poleni majirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingereza kinakupa tabu. Umeishia darasa la ngapu??dead or die? duuh
Inaonekana ulipata mimba ukumaliza shuleDied not dead
Poleni sanaR.I.P our CS, jameni kumpoteza huyu waziri kipindi kama hiki ni hatari kwa nchi, amekua mstari wa mbele katika kuweka mambo kiusalama sawa.
Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 67, hii ni baada ya kuugua ghafla na kupelekwa kwenye kituo cha afya cha Karen Hospital, Nairobi.
Major Gen. (Rtd.) Joseph Nkaissery alitokea jeshini kabla kuwa waziri wa mambo ya ndani na usalama na alifaulu pakubwa kwenye masuala ya usalama, maana kabla yake tulikua tunachezea sana mabomu ya mashababi Kenya.
Mungu ailaze roho yake pema peponi.
MK254 naona kama mazingira ya Aliyekuwa waziri wa ulinzi Mmasai Prof George saitoti aliyefariki June 2012 wakati wa heka heka za uchaguzi yana fanana na kifo cha Gen.Nkaissery ambaye nae ni mmasai. Je serikali ya Bwana Uhuru inaweza ikawa inahusika mauaji haya?R.I.P our CS, jameni kumpoteza huyu waziri kipindi kama hiki ni hatari kwa nchi, amekua mstari wa mbele katika kuweka mambo kiusalama sawa.
Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 67, hii ni baada ya kuugua ghafla na kupelekwa kwenye kituo cha afya cha Karen Hospital, Nairobi.
Major Gen. (Rtd.) Joseph Nkaissery alitokea jeshini kabla kuwa waziri wa mambo ya ndani na usalama na alifaulu pakubwa kwenye masuala ya usalama, maana kabla yake tulikua tunachezea sana mabomu ya mashababi Kenya.
Mungu ailaze roho yake pema peponi.
Yaliopita sindwele, tugange yajayoKuna haja ya kuangalia mambo haya kwa kina.nakumbuka 2012 Mwezi juni alikufa Prof. George saitoti ambaye alikuwa waziri wa ulinzi wakati huo katika ajali ya helicopter ilikuwa ni wakati wa uchaguzi kama huu. Pia tusisahau huyu nae alikuwa ni jamii ya Masai na alikuwa tishio kwenye nafasi ya urais ya Bwana Uhuru. Sasa tujiulize hili lililotokea tena leo ni kama matukio ya kupangwa na serikali ya jubilee kwa watu ambao ni tishio. Hasa hawa wamasai ambao hushika nafasi ya ulinzi katika serikali ikiwa ni nafasi yao katika serikali. Tukumbuke Kenya positions hutolewa kwa kuzingatia makabila ili kuondoa sintofahamu na migongano katika serikali
Nashawishika kifo cha Bwana huyu kimepangwa haswa ukizingatia hali halisi ya siasa ya Kenya kwa sasa.
Hii ni kama ile ya George saitoti.
Nimewaza tu wakuu wa Kenya msije kunishambulia hapa.
MK254 naona kama mazingira ya Aliyekuwa waziri wa ulinzi Mmasai Prof George saitoti aliyefariki June 2012 wakati wa heka heka za uchaguzi yana fanana na kifo cha Gen.Nkaissery ambaye nae ni mmasai. Je serikali ya Bwana Uhuru inaweza ikawa inahusika mauaji haya?
Nimewaza tu mkuu.nini maoni yako.
Tusikariri manake hii lugha ni pana sana...na kwa kweli wenzetu Kenya wametutangulia kwa hii lugha...Has he passed away or on? Kisungu hiki nacho
Matiang'i is the best choice to hold this docket,even permanently going forward!Uhuru appoints Fred Matiang'i as acting Interior CS
![]()
Abslutely! After the Marsabit attack in 2015, I commented on a certain blog that this guy should be handed the job, now that Ole Lenku had proven such a failure. But Uhuru had other ideas ofcos, plucking yet another very capable man wasting his talents in the opposition politics while Kenyans were dying.Matiang'i is the best choice to hold this docket,even permanently going forward!
Pass away- meaning dead so grammar is clear.Has he passed away or on? Kisungu hiki nacho