Inawezekana mm kwangu nimetengeneza open kitchen ila jitaidi jikoni iwepo chimney ya kuvuta Moshi na harufu ila uwe na jiko jingine la makolokolo kibongo bongo nadhani unaelewa kuhusu hekaheka za jikoni pia dinning nyingi bongo azitumiki hivyo ukiwa na concept hiyo itasaidia kufanya watu wawe wakula uku wanacheki tv