McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mwanafunzi mmoja wa sheria nchini Uganda, Gloria Grace Laker, amefungwa rumande na Mahakama ya Gulu kwa kosa la kupiga picha rejista ya mahakama na kusambaza siri hizo kwenye mitandao ya kijamii bila ruhusa.
Inasemekana Laker, aliyekuwa akifanya mafunzo ya kazi mahakamani hapo, alisambaza taarifa zinazomhusu mwanasiasa wa upinzani, Bobi Wine, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kutoa maelezo ya uongo.
Mwanafunzi huyo amekana mashtaka hayo, ikiwemo ya matumizi mabaya ya kompyuta. Alinyimwa dhamana kwa sababu mwanasheria wa serikali hakuwepo, na atakaa mahabusu hadi Machi 17, 2026, kesi yake itakapotajwa tena. Polisi wamesema upelelezi umekamilika.
=======================
A law student has been charged and remanded to prison by Gulu Grade One Magistrate’s Court on allegations of photographing and sharing information on court criminal register without authorisation.
Gloria Grace Laker, an intern student pursuing Diploma in Law at the Law Development Centre, appeared before Grade One Magistrate Mirriam Amoro, on Friday, on charges related to Computer Misuse Act and sharing information without authorization.
Laker was doing her clerkship at the Gulu High Court when she reportedly committed the offence.
Court heard that between March 6 and 9, 2026, at Gulu High Court, Ms Laker shared information on social media without authorisation.
Laker is also battling charges related to the computer misuse act.
She, however, pleaded not guilty to the charges.
According to court documents, investigations in the matter are complete and the state has informed court that they are ready to prosecute the case.
Source: Daily Monitor