International artists Tanzania ni Diamond na Vanessa Mdee tu, wengine mnazingua

International artists Tanzania ni Diamond na Vanessa Mdee tu, wengine mnazingua

Umewaacha NavyKenzo... Awa wamestruggle wenyewe bila kiki za Mastar wa KiNiger au SA.......
 
Navy kenzo nao ni wa kimataifa sema tu kwa sababu hawapo kwenye hizo team team,Raia wanakua hawawazingatii
Ila hauwezi ukataja international artist bongo ukawaacha Navy kenzo
 
Back
Top Bottom