International Friendly Match | FT; Khouribga 1-1 Simba SC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC leo Alhamisi ya Agosti 26 2021 wapo Uwanjani Nchini Morocco kucheza na Olympique Club De Khouribga katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki.



======

00' Mchezo umeanza.. Khouribga dhidi ya Simba SC.

37' Pape Ousmane Sakho anawatanguza Simba SC kwa bao la kwanza.

Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja kwa bila.
HT: Khouribga 0-1 Simba SC.

Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi huku mashambulizi yakiendelea kwa pande zote mbili.

61' Adama anasawazisha upande wa Khouribga bao | Khouribga 1-1 Simba SC.

75' Mchezo unaendelea, Khouribga wamepata nguvu baada kupata bao.

87' Simba wanajibu mashambulizi

Wakati wowote mpira utamalizika.. Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Olympique club de Khouribga wametoka sare na Simba SC

FT; Khouribga 1-1 Simba SC.

....... Ghazwat
 
Watu wazima na akili zao wanatoka huku wanaenda kucheza na timu ya daraja la sita
Huna akili. Unabeza timu kucheza mechi na timu ya daraja la 8. VP KUHUSU TIMU KWENDA PRE SEASON KWA SIKU TATU? Tena nchi ya watu kwa kulipiwa? Je wamecheza mechi ngap huko? TIMIA AKILI WALAU KIDOGO TU. Hv kuna mbadala wa MECHI?
 
Huna akili. Unabeza timu kucheza mechi na timu ya daraja la 8. VP KUHUSU TIMU KWENDA PRE SEASON KWA SIKU TATU? Tena nchi ya watu kwa kulipiwa? Je wamecheza mechi ngap huko? TIMIA AKILI WALAU KIDOGO TU. Hv kuna mbadala wa MECHI?
Uzi unahusu mechi ya kirafiki ya Simba, wewe unauliza maandalizi ya pre season ya Yanga. Uwe inatuliza akili ulewe kwanza, mambo unakuja huko unawashwa mat3ko unavamia watu, utakutana na mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…