Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mabingwa wa Nchi Mnyama Mkali Simba SC leo Alhamisi ya Agosti 26 2021 wapo Uwanjani Nchini Morocco kucheza na Olympique Club De Khouribga katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki.
======
00' Mchezo umeanza.. Khouribga dhidi ya Simba SC.
37' Pape Ousmane Sakho anawatanguza Simba SC kwa bao la kwanza.
Naaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele kwa bao moja kwa bila.
HT: Khouribga 0-1 Simba SC.
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi huku mashambulizi yakiendelea kwa pande zote mbili.
61' Adama anasawazisha upande wa Khouribga bao | Khouribga 1-1 Simba SC.
75' Mchezo unaendelea, Khouribga wamepata nguvu baada kupata bao.
87' Simba wanajibu mashambulizi
Wakati wowote mpira utamalizika.. Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Olympique club de Khouribga wametoka sare na Simba SC
FT; Khouribga 1-1 Simba SC.
....... Ghazwat