International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

Wakuu naombeni kujua zaidi kuhusu hiki chuo
kuhusu ada najua ni ghali!
Mdogo wangu amepangwa Bs. In laboratory technology pale!
 
Mi nipo mwaka wa nne pale kipo poa elimu nzuri ada yake ndefu kidogo tu be honest sina uwakika kwa hiyo laboratory course but sio chini ya 4mili
 
SWswSWSSSswSwSwSwswSWSwSWwSWswSwSwWssswSSWswSWswSwSwwsswSSSW£+&2£&£+++s&2£+£+&2£+&2£+&£+&2£+&£++s£++swSwSwSWswW£SWSwSWsswSSsswSWSwSwswSwswSSwSwsw£+&2£&2£+&2sw£&2£+&&2&&2+£+SSWswSwSWswSswSwswSwSwSwswSW
 
Mi nipo mwaka wa nne pale kipo poa elimu nzuri ada yake ndefu kidogo tu be honest sina uwakika kwa hiyo laboratory course but sio chini ya 4mili

Hoya mm pia nimeapply hapo na according to airtel nimechaguliwa hapo so naweza pata private no. Yako au e-mail yako ili 2endelee kuojiana kusu hicho chuo?
 
I hv been selected to join B.Sc Medical Laboratory Technology at IMTU.

So, I'd like to know if there is any other JF members selected there so that we can exchange ideas and information about joining instructions, prospectus, challenges of the course we have been selected etc ...

And also if there are those who currently study there or alumni ill appreciate some welcome advice ...

Thanks
 
I hv been selected to join B.Sc Medical Laboratory Technology at IMTU , so I'lld like to know if there is any other jf members selected there , exchange ideas and information about joining instructions, prospectus , challenges of the course we have been selected etc ... and also if there are those who currently study there or alumni ill appreciate some welcome advice ... Thnks ..
Hata mimi pia nimechaguliwa hapo hapo.
 
Hata mimi pia nimechaguliwa hapo hapo.

umechaguliwa course gan mkuu , vp process za join instruction umeanza kufuatilia !? Me I'm not in Dar for now dats why I need those kind of update n' I find nothing in their website ..
 
Mi nipo mwaka wa nne pale kipo poa elimu nzuri ada yake ndefu kidogo tu be honest sina uwakika kwa hiyo laboratory course but sio chini ya 4mili

mkuu kwa hiyo not less thn 4 million ina maana siku ya admission inahitajika uwe nayo yote au vip ..!? na kama mkopo utapewa asilimia mia xio kwamba itatoa kiwango kidogo tu ambacho kitakua kimesalia ..!?
piano nilikua naulizia upatikanaji wa vyumba maeneo ya karibu na chuo na grarama zake ..
 
Hoya mi wemenichagua B.sc in nursing hata mimi pia cpo dar na cfaham chochote kuhusu join instruction ntazpata wap bac kama vp 2endelee kuwasiliana kwa kujulishana kuhusu hilo.
 
Fomu za kujiunga zinapatikana pale chuoni kwa elfu 30.unajaza km mtu anayeomba admi. Kuna kuambatanisha vyeti mpaka kupigs x-ray ya kifua.Chuo kinafungukiwa mwezi wa kumi mwanzoni.
 
Hoya mi wemenichagua B.sc in nursing hata mimi pia cpo dar na cfaham chochote kuhusu join instruction ntazpata wap bac kama vp 2endelee kuwasiliana kwa kujulishana kuhusu hilo.
join instruction zitaanza kutolewa jumatatu tarehe 9 sept
 
kwa IMTU hamna tatizo kama upo fiti ki mkwanja otherwise au kinyume chake hama chuo mapemaaaaaaaa!!
 
kwa IMTU hamna tatizo kama upo fiti ki mkwanja otherwise au kinyume chake hama chuo mapemaaaaaaaa!!
spleen ukiona mtu kajaza IMTU nakati kuna vitu cheap kama MUHAC,CUHAS,KCMC,SJUIT ujue yupo vizuri kimkwanja
 
Last edited by a moderator:
spleen ukiona mtu kajaza IMTU nakati kuna vitu cheap kama MUHAC,CUHAS,KCMC,SJUIT ujue yupo vizuri kimkwanja

Cyo ivyo bro kwamba kwa m2 yeyote aliyeapply IMTU ndo ana mkwanja wa maana, ila qualifikation ndo zilizofanya 2shndwe kwenda kwenye ivyo vyuo ulivyovitaja, ila mi ntashukuru tu nikimaliza na kupata elmu nzuri itayonifanya niweze fanya job kwa ufanisi.
 
Nina ndugu zako wengi ilibidi wawe mwaka wa nne lakini wapo wa pili walifukuzwa hapo kwa ajili ya ada so be serious in that aspect........kwani we una cut -of ngapi?
 
Nina ndugu zako wengi ilibidi wawe mwaka wa nne lakini wapo wa pili walifukuzwa hapo kwa ajili ya ada so be serious in that aspect........kwani we una cut -of ngapi?
tutachanga ukoo mzima , lazima mtu agraduate ... kama watu wanachanga maharusi kwa pombe za siku moja kwa nini wasichange na kwenye elimu..
hata wasipochanga GOD WILL MAKE A WAY , WHERE SEEMS TO BE NO WAY..
 
Back
Top Bottom