Nakumbushia wanajf! Naona hamkucoment chochote!
Mi nipo mwaka wa nne pale kipo poa elimu nzuri ada yake ndefu kidogo tu be honest sina uwakika kwa hiyo laboratory course but sio chini ya 4mili
Hata mimi pia nimechaguliwa hapo hapo.I hv been selected to join B.Sc Medical Laboratory Technology at IMTU , so I'lld like to know if there is any other jf members selected there , exchange ideas and information about joining instructions, prospectus , challenges of the course we have been selected etc ... and also if there are those who currently study there or alumni ill appreciate some welcome advice ... Thnks ..
Hata mimi pia nimechaguliwa hapo hapo.
Wakuu naombeni kujua zaidi kuhusu hiki chuo
kuhusu ada najua ni ghali!
Mdogo wangu amepangwa Bs. In laboratory technology pale!
Mi nipo mwaka wa nne pale kipo poa elimu nzuri ada yake ndefu kidogo tu be honest sina uwakika kwa hiyo laboratory course but sio chini ya 4mili
join instruction zitaanza kutolewa jumatatu tarehe 9 septHoya mi wemenichagua B.sc in nursing hata mimi pia cpo dar na cfaham chochote kuhusu join instruction ntazpata wap bac kama vp 2endelee kuwasiliana kwa kujulishana kuhusu hilo.
spleen ukiona mtu kajaza IMTU nakati kuna vitu cheap kama MUHAC,CUHAS,KCMC,SJUIT ujue yupo vizuri kimkwanjakwa IMTU hamna tatizo kama upo fiti ki mkwanja otherwise au kinyume chake hama chuo mapemaaaaaaaa!!
spleen ukiona mtu kajaza IMTU nakati kuna vitu cheap kama MUHAC,CUHAS,KCMC,SJUIT ujue yupo vizuri kimkwanja
Nina ndugu zako wengi ilibidi wawe mwaka wa nne lakini wapo wa pili walifukuzwa hapo kwa ajili ya ada so be serious in that aspect........kwani we una cut -of ngapi?Cyo ivyo bro kwamba kwa m2 yeyote aliyeapply IMTU ndo ana mkwanja wa maana, ila qualifikation ndo zilizofanya 2shndwe kwenda kwenye ivyo vyuo ulivyovitaja, ila mi ntashukuru tu nikimaliza na kupata elmu nzuri itayonifanya niweze fanya job kwa ufanisi.
tutachanga ukoo mzima , lazima mtu agraduate ... kama watu wanachanga maharusi kwa pombe za siku moja kwa nini wasichange na kwenye elimu..Nina ndugu zako wengi ilibidi wawe mwaka wa nne lakini wapo wa pili walifukuzwa hapo kwa ajili ya ada so be serious in that aspect........kwani we una cut -of ngapi?