LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba.
Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta.
Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo " Illusion" ya kwamba wanasomesha shule ya private lakini Hakuna uhalisia.
Ems hazifundishi Kwa kiingereza isipokuwa kwenye shule za EMs masomo yanakuwa " mentioned" Kwa kiingereza.
Huwezi kufundishwa masomo Kwa kiingereza na mtu ambae :
1. Yeye mwenyewe Sio mzungumzaji wa lugha ya kiingereza ( Lugha Yake ya mawasiliano ni Kiswahili most of the time ila tu anajua matumizi ya articles (a, an, the), nouns, verbs, tenses etc.
2. Kiingereza Sio lugha Yake ya kwanza.
3. Etc
Ems haziwezi kuwa shule za private wakati zinafuata mtaala wa public (NECTA)
International Schools ndio shule za private Kwa sababu zinafuata mtaala Wao wenyewe (Cambridge)
Hizo ndio unastahili kulipa mamilioni (Dola elfu 30 plus Kwa mwaka)
Ila hizi Ems unapigwa tu mkuu.
Wanafunzi wa shule za Kayumba wapo nyumbani. Wanafunzi wa Ems wapo nyumbani pia.
Ila wanafunzi wa shule za private (International Schools) Wapo shuleni kama kawaida.
So which is which and which is not which?
Some people need to be taught the difference between OVERALL and ALL OVER.
Haya Sasa twende Kazi...............