International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

Duh,hapo mwenyewe ndio unaona umejibu kwa hoooooja,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ninachoshangaa ni namna ambavyo unatumia nguvu kubwa kutaka ionekane kwamba kayumba hazina tofauti na private, hii kisaikolojia ni dalili ya kushindwa kujiamini na maamuzi yako hivyo unatafuta wengine kama wewe ili kufanya mawazo yako yawe valid, kama kweli unajiamini na mawazo yako kwanini unalazimisha wengine wakuunge mkono we uliona wapi ngozi nyeusi tunatumia nguvu kubwa kuhimizana kwenye mambo mazuri
 
Shida yako ni nini? Mbona uko frustrated sana na shule za EMs?

Chill Bro. Hakuna anayeshikiwa Bunduki ili apeleke mtoto huko.

Na wewe shida yako Nini? Mbona upo frustrated Sana na threads zangu. Hujashikiwa bunduki kusoma nyuzi zangu wala hujalazimishwa kukomenti.

Haya Sasa vimba. Likud amekujibu
 
Wewe ndio unatumia nguvu kubwa kunielewa ndio maana huelewi.

Nafanya campaign ' Making Kayumba Schools Great Again"

MAKAGA Campaign
 
Wewe ndio unatumia nguvu kubwa kunielewa ndio maana huelewi.

Nafanya campaign ' Making Kayumba Schools Great Again"

MAKAGA Campaign
MAKAGA kwa kuimba mapambio mitandaoni haisaidii, waambie serikali waweke miundombinu mizuri ya kutoa elimu, unachofanya ni debe tupu tu.
 
Hata hili nalo ni issue?
 
Kuna kitu kwenye akili yake hakijakaa sawa. Sio jambo la kawaida mtu kuteseka kuona watoto wanaenda shule za EMs.
 
Toka ulipo ndugu yangu jaribu ukatembelee hata Kimvulini hapo Arusha usafishe nyota uachane na hizi mada zako za porini..
Kama wewe umeshindwa kuachana na Mada zangu za porini Mimi nitaweza vipi?
 
Hongera Sana mkuu nyie ndio watanzania mnao jitambua
Asante Sana mkuu. Halafu hizi shule za EMs ni kama pepo lililotengenezwa Kwa ajili ya kuwatia watanzania masikini umasikini Kwa sababu watu wengi Sana wanaosomesha shule hizo huwa wanaishia kuwa masikini wa kutupwa pesa yote wanaichoma kwenye ada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…