Ndio maana nimeanzisha " MAKAGA CAMPAIGN" kuwafungua akili. Watanzania wengi wana uwezo mdogo Sana wa kuchanganua mambo ila Masha'Allah muitikio ni mkubwa Sana mitaani Somo lime elewekaAsante Sana mkuu. Halafu hizi shule za EMs ni kama pepo lililotengenezwa Kwa ajili ya kuwatia watanzania masikini umasikini Kwa sababu watu wengi Sana wanaosomesha shule hizo huwa wanaishia kuwa masikini wa kutupwa pesa yote wanaichoma kwenye ada.
Watu wanasomesha watoto Dunia nzima wapo wazazi wanakodi nyumba iliyo karibu na shule Nje ya Nchi huko ili mtoto apple kwenye shule maana hawana boarding na vigezo mtoto awe mkazi karibu na maeneo ya shule wewe ndugu yangu bado upo zama za mawe badala ya kuomba wazazi wengi wasomeshe watoto wao daraja la kati au juu unatamani wote msote aisee..Kama wewe umeshindwa kuachana na Mada zangu za porini Mimi nitaweza vipi?
Mkuu acha utoto basi ..Watu wanasomesha watoto Dunia nzima wapo wazazi wanakodi nyumba iliyo karibu na shule Nje ya Nchi huko ili mtoto apple kwenye shule maana hawana boarding na vigezo mtoto awe mkazi karibu na maeneo ya shule wewe ndugu yangu bado upo zama za mawe badala ya kuomba wazazi wengi wasomeshe watoto wao daraja la kati au juu unatamani wote msote aisee..
Wangekuja J5 tumalize weekHuu ugeni ungekaza wiki ningeuona wa maana ila sio kesi tumepata four good days 🙏🙏🙏alihamdulialahi
Umesema Kweli kabisa mkuu kinacho wasumbua masikini wanao somesha Ems ni mindset tu . Mindset zao zikifunguliwa watajielewa tu na watafanya maamuzi sahihi .Ndio maana nimeanzisha " MAKAGA CAMPAIGN" kuwafungua akili. Watanzania wengi wana uwezo mdogo Sana wa kuchanganua mambo ila Masha'Allah muitikio ni mkubwa Sana mitaani Somo lime eleweka
Tatizo la mtoa mada ni lipiMleta Mada ana tatizo
Mada Sio mtoa Mada . Mada ni Ems vs Kayumba vs International Schools.Mimi ninachoshangaa ni namna ambavyo unatumia nguvu kubwa kutaka ionekane kwamba kayumba hazina tofauti na private, hii kisaikolojia ni dalili ya kushindwa kujiamini na maamuzi yako hivyo unatafuta wengine kama wewe ili kufanya mawazo yako yawe valid, kama kweli unajiamini na mawazo yako kwanini unalazimisha wengine wakuunge mkono we uliona wapi ngozi nyeusi tunatumia nguvu kubwa kuhimizana kwenye mambo mazuri
100% FactUmesema Kweli kabisa mkuu kinacho wasumbua masikini wanao somesha Ems ni mindset tu . Mindset zao zikifunguliwa watajielewa tu na watafanya maamuzi sahihi .
100% FactNi ujinga mkubwa sana Kwa mtu asie na assets na anae ishi kwenye nyumba ya kupanga kusomesha watoto wake Ems
Hii vita bado inaendelea?Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba.
Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta.
Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo " Illusion" ya kwamba wanasomesha shule ya private lakini Hakuna uhalisia.
Ems hazifundishi Kwa kiingereza isipokuwa kwenye shule za EMs masomo yanakuwa " mentioned" Kwa kiingereza.
Huwezi kufundishwa masomo Kwa kiingereza na mtu ambae :
1. Yeye mwenyewe Sio mzungumzaji wa lugha ya kiingereza ( Lugha Yake ya mawasiliano ni Kiswahili most of the time ila tu anajua matumizi ya articles (a, an, the), nouns, verbs, tenses etc.
2. Kiingereza Sio lugha Yake ya kwanza.
3. Etc
Ems haziwezi kuwa shule za private wakati zinafuata mtaala wa public (NECTA)
International Schools ndio shule za private Kwa sababu zinafuata mtaala Wao wenyewe (Cambridge)
Hizo ndio unastahili kulipa mamilioni (Dola elfu 30 plus Kwa mwaka)
Ila hizi Ems unapigwa tu mkuu.
Wanafunzi wa shule za Kayumba wapo nyumbani. Wanafunzi wa Ems wapo nyumbani pia.
Ila wanafunzi wa shule za private (International Schools) Wapo shuleni kama kawaida.
So which is which and which is not which?
Some people need to be taught the difference between OVERALL and ALL OVER.
Haya Sasa twende Kazi...............
Hii vita bado inaendelea?
Mbona tumekubaliana kila mtu ashike lake maisha yaendelee.
Mkimaliza hilo mje kwenye tatizo la boarding schools maana inaonekana vita mnaiweza . Mlianza na kataa ndoa sasa hivi mko kwenye EMS. Hizo kampeni zikishika hatamu basi muunganishe na swala la boarding schools
Hivi ilikuwa ni LAZIMA au wale wanaoona itawaletea usumbufu ndio wasiende kazini/shule?LIKUD in one and two again..🤣🤣
Wewe jamaa nadhani hata ndoto zako zipo kwa EMs vs PS!
EMs wametii agizo la serikali, japo pia sio wote waliokubaliana, wengine wanafanya kazi kama kawaida.
Wewe Upo kinyume na mtoa mada.Kama pesa ipo mpeleke EM kama hauna mpeleke KAYUMBA.
Hadi huku Chanika ninako ishi mimi shule zimefungwa. Chanika na posta wapi na wapiHivi ilikuwa ni LAZIMA au wale wanaoona itawaletea usumbufu ndio wasiende kazini/shule?
Hata ukifuatilia watu wengi wanaolalamika kuwa January ni ngumu sababu ya ada ni hao hao wazazi waliopeleka watoto wao private schools za bei nafuu(English medium schools)Asante Sana mkuu. Halafu hizi shule za EMs ni kama pepo lililotengenezwa Kwa ajili ya kuwatia watanzania masikini umasikini Kwa sababu watu wengi Sana wanaosomesha shule hizo huwa wanaishia kuwa masikini wa kutupwa pesa yote wanaichoma kwenye ada.
Upo sahihi kabisa mkuu wengi Wao ni masikini wa kutupwa halafu kwenye mada kama hizi wanajifanya kukejeli watu hawana helaHata ukifuatilia watu wengi wanaolalamika kuwa January ni ngumu sababu ya ada ni hao hao wazazi waliopeleka watoto wao private schools za bei nafuu(English medium schools)
Sehemu nyingi walioendelea duniani hawategemei private schools kama ndio shule pekee ya kumpa mtoto elimu Bora, mfano nchi kama Switzerland private schools ni chache mno na wengi wanaosoma ni raia wa kigeni.Watu wanasomesha watoto Duni nzima.
Mimi siwaombei wazazi wapate Hela hili wawapeleke watoto wao private schools huko ni kuendelea KULEA uzembe na incompetence ya serikali ya CCM, Bali ninawaombe wazazi WA kitanzania siku Moja muamke na kuanza kuiwajibisha serikali ya CCM hili itimize wajibu wake Kwa ufanisi ikiwemo kutoa elimu Bora kwenye shule za umma ambazo ndio watanzania wengi wanazitegemea kuwapa elimu watoto wao.badala ya kuomba wazazi wengi wasomeshe watoto wao daraja la kati au juu unatamani wote msote aisee..