Ubora wa Kayumba Vs Ems upo kwenye mindset. Just change ur mindsetSasa ungekubali tu kwamba wewe ndio unazifanya shule za kayumba zionekane bora lakini kiuhalisia si kwamba ni bora, na huwezi kuzifanya ziwe bora kwa maandishi tu inawezekana zikaja kuwa bora huko miaka ya mbele but till then, shule za private ziendelee kupewa maua yake
Ndio lazima tukuzungumzie wewe, kwa sababu ni wewe ndio unazifanya shule za kayumba zionekane bora, na siyo kwamba kiuhalisia hizo shule ni bora
Ila nimesikitika sana mkuu kama bado wewe ni mshabiki wa shule za EMs at lest mpeleke shule yenye wanafunzi 45 darasa moja. Wanafunzi kumi unamtesa Sana. Mtoto hawezi kuenjoy his childhood to the fullestUzuri, I know that what I'm doing is good for my kids. Nilijaribu kukuonyesha the positives of EM, but you seem a die hard fan of your own theories. Anyway, the beautiful thing about our world is our diversity. Tukubaliane tu kuwa sumu kwako inaweza kuwa dawa kwa mwingine.
Ingawa primary tulimaliza 56, kulikuwa na wenzangu watano tu tuliokuwa karibu na mmoja tu kama rafiki. Mtaani nimekulia kijijini, free range, lakini nilikuwa na marafiki wachache, hawazidi wanne. Point yangu kubwa, mtoto hahitaji watoto wengi kufurahia utoto wake, maana hata kati ya hao wengi atakuwa close na marafiki wawili au watatu tu.Ila nimesikitika sana mkuu kama bado wewe ni mshabiki wa shule za EMs at lest mpeleke shule yenye wanafunzi 45 darasa moja. Wanafunzi kumi unamtesa Sana. Mtoto hawezi kuenjoy his childhood to the fullest.
Utawezaje kufuata ushauri wa Likud watasema umerogwa au una fedha za waganga...ukiona mtu abeza Elimu jua hayupo sawa kabisaa..Watu aina ya LIKUD ,usipokuwa makini wanaweza kukuingiza chaka. Unaweza kukuta hicho anachoponda ndiyo hicho hicho anakifuata au anakifanyia kazi/anakitumikia
Sasa msomi kufananisha Tanzania yenye population ya 60m na Switzerland yenye idadi ya watu 8m tena imeendelea sidhani kama upo sawa hapo idadi ya watoto ni kama idadi ya watoto wa mkoa mmoja wa Tanzania sisi bado tupo kunyang'anyana Groves za Tsh 300 kwa bei ya Nchi zilizoendela..Tanzania wapo watu wengi hawana hata vitambulisho wakati huko Swiss vitambulisho wanaletewa nyumbani swala la matibabu na Elimu sio mjadala kwao emu njoo na mifano ya Nchi masikini kama zetu ntakuelewa..Sehemu nyingi walioendelea duniani hawategemei private schools kama ndio shule pekee ya kumpa mtoto elimu Bora, mfano nchi kama Switzerland private schools ni chache mno na wengi wanaosoma ni raia wa kigeni.
Mimi siwaombei wazazi wapate Hela hili wawapeleke watoto wao private schools huko ni kuendelea KULEA uzembe na incompetence ya serikali ya CCM, Bali ninawaombe wazazi WA kitanzania siku Moja muamke na kuanza kuiwajibisha serikali ya CCM hili itimize wajibu wake Kwa ufanisi ikiwemo kutoa elimu Bora kwenye shule za umma ambazo ndio watanzania wengi wanazitegemea kuwapa elimu watoto wao.
Kama serikali ya Rwanda imeweza kutoa elimu Bora kwenye shule za uma sawa tu private schools kiasi Kwamba wazazi Sasa hivi wanawatoa watoto wao private schools na kuwapeleka government schools hapa Tanzania inashinildikana Nini??
hili somo hata ukiwa na low IQ utaelewa tu vinginevyo ni kiburi na masikini akipata.Kuna tofauti Kati ya mwenye pesa na mwenye kujitesa.
Mwenye pesa hapeleki mtoto wake Ems . Anapeleka International Schools Mtaala wa Cambridge
Unalipa zaidi ya milioni miamoja kwa mwaka halafu mwanao akose masomo! Aikona!Ems schools ni shule za public zenye majengo private. Hazina tofauti na Kayumba.
Kwa sababu zote Ems na Kayumba zinatumia mtaala wa Necta.
Ems zinawapa wazazi wanao somesha shule hizo " Illusion" ya kwamba wanasomesha shule ya private lakini Hakuna uhalisia.
Ems hazifundishi Kwa kiingereza isipokuwa kwenye shule za EMs masomo yanakuwa " mentioned" Kwa kiingereza.
Huwezi kufundishwa masomo Kwa kiingereza na mtu ambae :
1. Yeye mwenyewe Sio mzungumzaji wa lugha ya kiingereza ( Lugha Yake ya mawasiliano ni Kiswahili most of the time ila tu anajua matumizi ya articles (a, an, the), nouns, verbs, tenses etc.
2. Kiingereza Sio lugha Yake ya kwanza.
3. Etc
Ems haziwezi kuwa shule za private wakati zinafuata mtaala wa public (NECTA)
International Schools ndio shule za private Kwa sababu zinafuata mtaala Wao wenyewe (Cambridge)
Hizo ndio unastahili kulipa mamilioni (Dola elfu 30 plus Kwa mwaka)
Ila hizi Ems unapigwa tu mkuu.
Wanafunzi wa shule za Kayumba wapo nyumbani. Wanafunzi wa Ems wapo nyumbani pia.
Ila wanafunzi wa shule za private (International Schools) Wapo shuleni kama kawaida.
So which is which and which is not which?
Some people need to be taught the difference between OVERALL and ALL OVER.
Haya Sasa twende Kazi...............
Mbona ameitaja Rwanda hapo ambayo ni nchi ya kiafrikaSasa msomi kufananisha Tanzania yenye population ya 60m na Switzerland yenye idadi ya watu 8m tena imeendelea sidhani kama upo sawa hapo idadi ya watoto ni kama idadi ya watoto wa mkoa mmoja wa Tanzania sisi bado tupo kunyang'anyana Groves za Tsh 300 kwa bei ya Nchi zilizoendela..Tanzania wapo watu wengi hawana hata vitambulisho wakati huko Swiss vitambulisho wanaletewa nyumbani swala la matibabu na Elimu sio mjadala kwao emu njoo na mifano ya Nchi masikini kama zetu ntakuelewa..
Wana scholarships, fuatiliaInsha Allah wangu atasoma,St.Constantine huko Chuga.
Kwahio huko EM ndio mnawafundisha watoto wenu kuwa AN orange is correct and THE orange is wrong?Uliposema mwanafunzi wa EMs anajua matumizi ya articles,tenses,noun,verbs etc huko ndiyo kujua lugha Sasa lakini wa kayumba hayo matumizi hawayajui kabisa hata kidogo.mfano wa kayumba anasema the orange badala ya kusema an orange.kayumba hakufai hata kidogo maana Mimi nilifanya utafiti kidogo kuhusu vibaka wanaokamatwa Huwa wamepata elimu zao kayumba.Na nitaandika kitabu kuhusu madhara ya kayumba ili jamii ijue.
Mnavyodanganyana kuhusu Rwanda kama vile ipo bara jingine hakuna kitu cha maana pale ni propaganda tu za Watawala wa Dunia..Mbona ameitaja Rwanda hapo ambayo ni nchi ya kiafrika
Even their illusion is PrivateThubutu!
Mambo yenu hayawahusu.
They are a private school.
Even their location is private.
A private geographical position