Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jamii Forum,
Naomba msaada wenu,
Ninahitaji Time Watcher nzuri ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye internet cafe,
nimeasha jaribu free version lakini kuna wakati zina sumbua,
wapi naweza kuinunua kwa hapa bongo??
Ahsante
Sandet
Zipo za kudownload ambazo ni nzuri pia zinakuwa na serial zake lakini ambazo ni za free kuwa wajanja wanajua namna ya kuzifungua kitu ambacho kinaweza kikawa kinakuletea hasara mkuu!