Internet Explorer ya Microsoft inafungwa kabisa kuanzia tarehe 15 mwezi Juni

Dah nitaumbuka, kuna forum muhimu kwangu amabyo nimepoteza kumbukumbu zote za Password pamoja na Email niliojiungia, Kinachoniokoa nikua nikuwa niliiset auto login, kwa mwaka wa 5 sasa nimekua nikiitumia explore kwa kijambo hicho tu.
 
Daah, Kwa hiyo 5yrs hadi leo umeshindwa kuretrieve hizo credentials.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Dah nitaumbuka, kuna forum muhimu kwangu amabyo nimepoteza kumbukumbu zote za Password pamoja na Email niliojiungia, Kinachoniokoa nikua nikuwa niliiset auto login, kwa mwaka wa 5 sasa nimekua nikiitumia explore kwa kijambo hicho tu.
Mimi naishukuru password.google.com otherwise ningeshapoteza vitu vingi. Yani uwa nikosahau password naingia hapo
 
Chrome sio watu wazur, Mozilla naye sjui Yuko wap? Daah search engine ina virus kinyama
 
Microsoft edge ni mtoto wa chrome, hadi ukiinstall chrome kwenye windows 10, unapata msg kuwa edge na chrome ziko sawa tu
 
Legacy software! huyu katufundisha mambo mengi sana mkongwe ana umaliza mwendo! Karibu Microsoft Edge inafanana na google Chrome tu!
 
Dah nitaumbuka, kuna forum muhimu kwangu amabyo nimepoteza kumbukumbu zote za Password pamoja na Email niliojiungia, Kinachoniokoa nikua nikuwa niliiset auto login, kwa mwaka wa 5 sasa nimekua nikiitumia explore kwa kijambo hicho tu.
Unahitaji msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…