Internet halotel ni zero

Jacob Mg

Member
Joined
Sep 16, 2020
Posts
9
Reaction score
20
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
 
Sijajua line yako ina shida gan mzee. Mm yangu ipo poa tu. Au ni 3G
 
Na mimi sahivi nipo Mara. Yaani ni kama vile waya wa internet ya halotel umekatika zimebaki nyuzi chache ndio zinashikilia. Awali 4G ilikuwa inafika mpaka 8mbps lakini sahivi hata kufungua jamiiforum ni kwa mbinde, kuangalia video YouTube hata 360p inakwama kwama dah!. Sijui tatizo nini?.
 
8gbps ?? [emoji15][emoji15]
 
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Nikajua ni mimi tu.

Ila hata Tigo leo iko slow.

Sijajua voda.
 
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Mi niko Karatu siku kadhaa hapa..leo ilikata mtandao sipigi wala kupokea zaidi ya masaa 7..Halotel ni sifuri sana
 
8gbps ?? [emoji15][emoji15]
Hiyo speed nawezashusha ma-firmware mpaka yanikome, yaani hapa nilipo nawaza kubundika tena leo maana kuna lisamsung linaniwangisha kichwa limekubali combination file lakini nikiliandikia firmware ya kawaida nikaliwasha tu linajirestart na linaedelea hivyo.

Sent from my cupboard using mug
 
Tafuta Mtandao wa 4g eneo lako kama upo, 4g hata ikishuka speed itadondokea mbps kadhaa bado utakuwa na speed nzuri.

Na Halotel 4g inataka simu kali yenye MIMOx2 ili kuenjoy speed nzuri.

Hapo kwenye MIMOx2 sijaelewa Mzee
 
Model number...!?
 
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Ni kimeo hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…