Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
multiple input multiple output, simu inakuwa na Antena zaidi ya moja na mnara nao unakuwa na Antena zaidi ya moja, hivyo simu inapowasiliana na mnara inafanya hivyo mara 2 kwa mpigo ili iongeze speed. ipo pia Mimox4Hapo kwenye MIMOx2 sijaelewa Mzee