Internet halotel ni zero

Hapo kwenye MIMOx2 sijaelewa Mzee
multiple input multiple output, simu inakuwa na Antena zaidi ya moja na mnara nao unakuwa na Antena zaidi ya moja, hivyo simu inapowasiliana na mnara inafanya hivyo mara 2 kwa mpigo ili iongeze speed. ipo pia Mimox4
 
Nimekupata vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…