Swala la any change katika brain kwa nini tuseme linaharibu??
Haliharibu bali linasababisha change flani ya kitu katika ubongo, same to addicts wa vitu flani, part flani ya ubongo wao inabadilika, sawa na mtu anayesoma sana part flani inabadilika, sasa sio kwa kua internet nayo ina response ile ile tunakaa na kusema ati inaharibu, neno kuharibu halifai kutumika hapa kabisa, inabadilisha tu na hii sio kwamba ina madhara katika swala nzima la afya ya ubongo hapana, ni sawa na learning activities nyingine za kila siku, nothing special