Internet ilikuwepo kabla ya Kristo?

Internet ilikuwepo kabla ya Kristo?

Internet ipi inasemea wewe?

Internet : is global computer network providing a variety of information and communication facilities, consisting of interconnected networks using standardized communication protocols.

First computer invented by Charles Babbage between 1833 and 1871

Kuzaliwa Kwa Yesu ni 1/1/1

Je internet ilikuwa ya kwanza kugundulika kabla ya kompyuta?

Sina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa

Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize

Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona nasogea kwa kuzuga aliacha kuongea

Je ili suala ni kweli ?
Hakuna jipya chini ya jua, internet sio kitu kipya ni kweli kabisa
 
Kambi ya Fisi

Mimi naona kama ni kweli kabisa kutokuwepo kwa umeme sio sababu ya internet kutokuwepo pengine kulikuwa na system nyingine ambayo ni bora kuliko huo umeme
 
Internet ipi inasemea wewe?

Internet : is global computer network providing a variety of information and communication facilities, consisting of interconnected networks using standardized communication protocols.

First computer invented by Charles Babbage between 1833 and 1871

Kuzaliwa Kwa Yesu ni 1/1/1

Je internet ilikuwa ya kwanza kugundulika kabla ya kompyuta?

Hiyo tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu ni kwa mujibu wa kalenda ipi?
 
Back
Top Bottom