kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Naona ni kweli sisi tunafanya marudio tu kakaKuna mambo mengi hatujui yamefichwa
Yule mzee alikuwa anatoa hoja nondo huwezi amini alafu ni mzee wa maktaba nchini swedenUngemnasa vibao kidogo...
Umeme ulikuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu eg radi, viumbe hai vyote vina mfumo wa umemeJe Internet ilikuwepo kabla ya umeme?
Mana umeme umegundulika juzi tu , mwaka 1792
Hakuna jipya chini ya jua, internet sio kitu kipya ni kweli kabisaSina tabia ya kusalimia naona ni suala la kupoteza muda tu wakubwa
Kuna mzungu flani nimemsikia akisema hayo maneno hapo juu ilinibidi nisogee karibu nimsikilize
Alikuwa mzee kwahiyo alivyoona nasogea kwa kuzuga aliacha kuongea
Je ili suala ni kweli ?
Hiyo tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu ni kwa mujibu wa kalenda ipi?Internet ipi inasemea wewe?
Internet : is global computer network providing a variety of information and communication facilities, consisting of interconnected networks using standardized communication protocols.
First computer invented by Charles Babbage between 1833 and 1871
Kuzaliwa Kwa Yesu ni 1/1/1
Je internet ilikuwa ya kwanza kugundulika kabla ya kompyuta?