KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Lazima wabishane hapa bado, great job MutahiKama sio Kibaki na Mutahi Kagwe back in 2009, Tanzania sasa hivi bado mngekuwa kwa satellite internet. Speeds za 50kbps. [emoji23] [emoji23]
Kenya brought undersea fibre to East Africa. Tanzania and Uganda jumped on the bandwagon not to be left behind.
Kibaki’s letter that delivered broadband internet
Former ICT minister Mutahi Kagwe played key role in tapping broadband internet.mobile.nation.co.ke
Look at these your sisters. This is totally unacceptable hata kama albino ni favorite yako.View attachment 1197812
Kenya mwaka huu takriban watu 13 wamefariki njaa na watu takriban milion 1.2 wanakumbwa na njaa.
Habari za albino zimepita miaka sita ya nyuma tushasahau hayo mambo ww lete tu kujiliwaza.
so literally Tanzanians dont have Home fibre7,000 km of fibre... 😂 😂 😂
Kwani inafuata barabara.
Kupeleka fibre kwa nyumba za watu, unahitaji hundreds of thousands to millions of km of cable.
Since when fibre connection means unlimited?Cheaper and faster too.
Not to mention Kenya has like 50 times more home fibre connection than LDC.
That means it is not only cheaper, but also unlimited.
kunywa supu ya albino na ulale labda utaamka kama kichwa iko sawaWamehishiwa maneno hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanadhani labda wakileta past news watashinda argument, sisi tunaleta current news.
Since when fibre connection means unlimited?
And Unlimited means cheap?
If you subscribe unlimited service for $400 and another person subscribed the same service for $300 but different ISPs, will you say both of them have bought the same service for cheap price because it's unlimited for both?
Salimia babu.Kenya mwaka huu takriban watu 13 wamefariki njaa na watu takriban milion 1.2 wanakumbwa na njaa.
Habari za albino zimepita miaka sita ya nyuma tushasahau hayo mambo ww lete tu kujiliwaza.
kunywa supu ya albino na ulale labda utaamka kama kichwa iko sawa
Huyu mjinga hili ndilo tu anajua.Mldc
Huyu mjinga hili ndilo tu anajua.
Mbona usiweke map ya Tanzania kuonyesha pande zile nyingi za mauaji ya albinos?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huwa vinajidanganya sana bado havijui Tanzania ni zaidi ya waijuavyo
Aje hapa sasa atuambie ni lini 4Gb Kenya iliuzwa kwa 48 KES, Hapo hata nusu dollar haifiki na ni 4Gb.
Hahaha mnapewa misaada na nchi jangwa kwa sababu mashamba yenu yenye rutuba nzuri yanamilikiwa na wazungu huku wakilima mazao yasiyo faa kwa chakula huku mamilioni ya wakenya wakiachwa bila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kennyatta family pekee inamiliki mashamba yanayotosha wakenya wote,
Hii aibu sana malori yanaenda hadi ikulu kutoa misaada,
Hizo screenshot Haziwezi kukuletea chakula.
Those are past news we are talking about contemporary issues.
Kwanini niweke past news ambazo tulishazisahau kitambo Sana
Wakati kuna current news za wakenya wanaoteseka na njaa,
Kenya mwaka huu takriban watu 13 wamefariki njaa na watu takriban milion 1.2 wanakumbwa na njaa.
Habari za albino zimepita miaka sita ya nyuma tushasahau hayo mambo ww lete tu kujiliwaza.
Nearly all Kenyans are terroristsMiaka sita indeed.View attachment 1197862View attachment 1197863
While 98% of Tanzanians are witches and sorcerers.[emoji23][emoji23][emoji23]Nearly all Kenyans are terrorists
HahahahaCNN calls Kenya 'hotbed of terror,' sparks #SomeoneTellCNN - Poynter
From person-to-person coaching and intensive hands-on seminars to interactive online courses and media reporting, Poynter helps journalists sharpen skills and elevate storytelling throughout their careers.www.poynter.org
So 2019 ni 5yrs back according to you?View attachment 1197860