babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Natumia ttcl na huwa Sipati changamoto yoyote na wala siishi mjini,
Washa roaming tu .
Washa roaming tu .
mkuu iyo ttcl ni ni matiti sana internet yao iko slow ka kasi ya maendeleo taifa iko slow kama uchumi tanzania hazivutiii watu alafu wanazima baada ya muda unangoje mpaka uchoke afadhali niyoe 2000 tigo ni download fasta kwishine sio habari za una pewa 4gb ambazo fail ya 200mb unadownload 4 hour voda wakoghali lakini iyo speed weeeeeee ni nomaaaaaaa