Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Internet is cheaper in Kenya than Tanzania averagely

Natumia ttcl na huwa Sipati changamoto yoyote na wala siishi mjini,
Washa roaming tu .
mkuu iyo ttcl ni ni matiti sana internet yao iko slow ka kasi ya maendeleo taifa iko slow kama uchumi tanzania hazivutiii watu alafu wanazima baada ya muda unangoje mpaka uchoke afadhali niyoe 2000 tigo ni download fasta kwishine sio habari za una pewa 4gb ambazo fail ya 200mb unadownload 4 hour voda wakoghali lakini iyo speed weeeeeee ni nomaaaaaaa
 
Mkuu labda settings zako za internet haziko sawa.
Mm toka nianze kuitumia TTCL ni mwaka sasa na download movie ya 1.2 gb in 20 minutes bro.
Kwa hyo TTCL unayoidharau.
Na haikuwahi nigomea ni 4G Moja maatata sanaaaa.
Labda settings zako za internet haziko poa.
 
Mkuu...zuku unlimited naitambua sana...duh!!yani achana nayo kabisa...cz wanako wakikutembelea unawadungia tu...mambo yanaenda shwari hku mkipiga vitu vyenu kw ksh1,500 per month...sijui bongo pia km kuna hvyo vitu kw bei hyo

Sijaona kitu kama hiki Bongo, yaani nacheza na internet hadi nichoke mwenyewe tu, kazi zangu zote nazimaliza na kuboeka, videos kibao, movies na series nazimaliza zote, wanangu na familia yote wameunga WIFI kila mtu anachoka mwenyewe na kuacha, yote kwa 1,500 kwa mwezi.
Halafu estate yote hapa kila mtu ameingiza hii ZUKU, hata walinzi huwa tunawapa access za WIFI usiku wanachezea hadi wachoke wenyewe.
Nikienda Bongo huwa natumia Vodacom, nakumbuka nilikua nanunua 10GB kwa 10,000Tsh kwa wiki maana nje ya Vodacom mitandao mingine yote ni choka mbaya ya tupa kulee.
Hakika Kenya tuko mbele sana, huwa nashangaa nikiona Mkenya analalamika ovyo, akiondoka na kuvuka mpaka na kuishi siku chache kwenye mojawapo wa haya mataifa ndio anatia akili.
 
safaricom uku mandela karibu na somalia boda tunanunua 1gb kwa 99ksh iyo speed yake siyo ya mchezo maana wameweka ya kudownload ni 5mb to 10mb alafu uku kuna wifi unalipia 1ksh sawa 25tsh kwa dakika cyber za uku hainashida kudownload hata ukimpa link ye anacheki time ya fail .mimi nilidownload fila ya 5gb nikampa link niliporudi akanichaji 58ksh nikajiona mjanja kumbe ye kaniona mjinga
 
Mkuu labda settings zako za internet haziko sawa.
Mm toka nianze kuitumia TTCL ni mwaka sasa na download movie ya 1.2 gb in 20 minutes bro.
Kwa hyo TTCL unayoidharau.
Na haikuwahi nigomea ni 4G Moja maatata sanaaaa.
Labda settings zako za internet haziko poa.
huenda ukawa upo sahihi nipatie setting APN , Proxy , Na port
 
Nearly all Kenyans are terrorists
Hahahaha
All Tanzanians are Witches you,your father and Grandfather
1567615894412.png
 
Hapa kitaa sidhani km kuna ghetto hawana zuku unlimited...zimezagaa tu km sijui nn vile...
Sidhani km kuna nyumba hawaja connect..cz wote wana afford..ni watu na magari yao...

Walinzi wao hutumia zote zote...kwa sababu kila mtu anampa password...nikuteleza tu
Sijaona kitu kama hiki Bongo, yaani nacheza na internet hadi nichoke mwenyewe tu, kazi zangu zote nazimaliza na kuboeka, videos kibao, movies na series nazimaliza zote, wanangu na familia yote wameunga WIFI kila mtu anachoka mwenyewe na kuacha, yote kwa 1,500 kwa mwezi.
Halafu estate yote hapa kila mtu ameingiza hii ZUKU, hata walinzi huwa tunawapa access za WIFI usiku wanachezea hadi wachoke wenyewe.
Nikienda Bongo huwa natumia Vodacom, nakumbuka nilikua nanunua 10GB kwa 10,000Tsh kwa wiki maana nje ya Vodacom mitandao mingine yote ni choka mbaya ya tupa kulee.
Hakika Kenya tuko mbele sana, huwa nashangaa nikiona Mkenya analalamika ovyo, akiondoka na kuvuka mpaka na kuishi siku chache kwenye mojawapo wa haya mataifa ndio anatia akili.
 
Umekielewa nilichokiandika...sasa hyo 2GB kwangu si inaisha mapema tu...vyenye na stream karibia daily..hazinitoshi hzo..

Huwez linganisha na zuku unlimited.
Kuna stream inaweza kugomea 4G..???mbona unashindwa kutumia akili dogo?
 
Umekielewa nilichokiandika...sasa hyo 2GB kwangu si inaisha mapema tu...vyenye na stream karibia daily..hazinitoshi hzo..
Huwez linganisha na zuku unlimited.
Mi nimekupigia hesabu za daily..nawe leta za daily 2GB kwa siku huko kenya unapata kwa ksh ngapi??
Ukitaka unlimited for a month, kwa kenya ksh 1500,wakati huku zantel unlimited kwa tsh 10000

Sasa piga hesabu zako wapi ni cheap!!
 
Jesus Christ. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Even for an LDC I didn't expect this.

Fibre inapitia chini ya ardhi. Cable inaletwa mpaka kwako nyumbani. Nyumba lazima ifanywe wiring kama stima.
Ikifika chumbani kwako inapata router. Hii router nayo ndio inakupa WiFi yako binafsi, ama unaunganisha na ethernet cable.

This is the only way you will get unlimited internet with speeds over 100Mbps without fail. Without congestion.
Fixed price ambayo haupimiwi bundle.

In the West, virtually all houses are connected to fibre.
Hata huku TZ kuna kampuni nyingi tu zinatoa huduma ya kupeleka fiber mpaka home. But watu wengi wanatumia wireless sababu ni cheap kwa both wateja na service providers. Organizations ndio largerly zinatumia direct connection ya fiber toka kwa service providers.
Screenshot_20190904-203019_Opera.jpeg
Screenshot_20190904-202427_Opera.jpeg
 
Ukweli wacha usemwe....tulioko mikoani its worse...sijui tz tunakwama wapi, yani internet ni ukiwa katikati ya mji tu..huo mkongo wa Taifa sijui imekuaje??
 
not bragging but dudes this is my internet speed.almost 100mbps
1567619408191.png
 
Duh!!zantel my foot...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bei yenyewe inatia kichefu chefu
Mi nimekupigia hesabu za daily..nawe leta za daily 2GB kwa siku huko kenya unapata kwa ksh ngapi??
Ukitaka unlimited for a month, kwa kenya ksh 1500,wakati huku zantel unlimited kwa tsh 10000

Sasa piga hesabu zako wapi ni cheap!!
 
Ajitambui huyu mleta data kwanza ramani haina scale ya kuonyesha hiyo 1GB kwa wiki au mwezi au siku
Halotel 1000/= kwa wiki 1GB i.e average less than a dollar

Tatizo la hizi average wanaweza wakachukua mtandao mmoja ambao upo juu sana ukaharibu kila kitu
 
Hawa watu sio wazima [emoji23][emoji23]
Unajua ukiwa nanjaa uwezo wa kufikiri unadumaa kiasi kwamba unajiona kila kitu unacho ili kuufariji moyo wako ulidhike na hali yako ya maisha sasa tusiwashangae sana hawa jamaa zetu njaa ndio chanzo sio makosa yao.
 
Back
Top Bottom