Ni lahisi sana, kwanza ni kuweka software ya simu yako ndani ya laptop yako, kama ni Nokia jaribu kuistore hiyo software, au nenda popote panapouzwa simu kisha waambie wakupe zile CD za aina ya simu yako, kama ni Nokia Watakupa, kama ni Motolola watakupa kisha fuata process hii
1. unganisha cable toka kwenye simu yako hadi kwenye laptop yako.
2.nenda kwenye start kisha chagua ile software ya simu yako uliyoinstore ili iwe active.
3.Hapo utaona mnara wa aina ya internet
Kama haujaweza naomba useme simu yako ni ya aina gani ili tuweze kukuatach hiyo soft ware sasa hivi
Thank