Davies_007
Member
- Apr 22, 2010
- 59
- 0
Wakuu, Naomba Kuuliza, Nawezaje Kutumia Internet Kutoka kwenye simu na Niweze Kuconnect na my Laptop?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Set up software yake inapatikana kwenye google!Nenda hapaSimu Yangu Ni Samsung D880 Ntashukuru Ukiniwekea hiyo Softwire Hapa Mkuu
Simu Yangu Ni Samsung D880 Ntashukuru Ukiniwekea hiyo Softwire Hapa Mkuu
Elfu kumi ni ndogo. Yaani elfu tano ni dakika tu inakwisha.
Simu Yangu Ni Samsung D880 Ntashukuru Ukiniwekea hiyo Softwire Hapa Mkuu