Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Mtandao usharudi karibu Kila mtandao una access, ila Leo ndo nimegundua Kuna umafia katika biashara, kuanzia Whatsapp Leo ilikua haifanyi kazi, jamii forum hola,Google search hakuna, Facebook na insta hakuna kabisa ila YouTube mi nimetumia kuanzia asubuhi Iko poa kabisa, nikawa sielewi
 
Ni janga la Afrika mashariki yote, Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania.

Kikubwa ukitumia na VPN inajitajidi.
 
Back
Top Bottom