kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Ninachojiuliza ni kwamba Impact kwa nchi nyingine zilizomkaribisha elon na starlink yake iko vp? Mfano kenya? Nao wamekua disrupted kama sisi?Sijui mkuu, ila nimesoma BBC wana re route traffic kwenda waya zingine ambazo hazipitii huko msumbiji, maybe kuna website muhimu muhimu kwao wamezipa priority traffic zake. Ila jf imerudi kwa speed nzuri.
Nauliza hvo sababu ili kupata huduma fln inategemea huyo provider wako na yeye kama ana connection, mfano kama webserver ipo tz, na internet imekatwa kwa tz, mtu aliepo marekani hata kama yupo kwenye connection 100mbps hatoipata hio webserver