Inategemea na mahali ulipo, nilipo halotel haifunction kabisa nimehamia tigo inasoma 4G na spidi ipo vizuri kwa kiasi fulani.Nimejaribu tigo ni nzito zaidi ya zege
Airtel speed ya konokono
Voda ni haifungui kabisa
Halotel ndio nimetumia kukoment hapa..
Halotel kashajichukulia credit kwa hili
Bado unasuasuaIMERUD MBONA
Voda inafungua nilipo, ttcl ndio inakimbixa kabosa. Sijui maeneo mengineNimejaribu tigo ni nzito zaidi ya zege
Airtel speed ya konokono
Voda ni haifungui kabisa
Halotel ndio nimetumia kukoment hapa..
Halotel kashajichukulia credit kwa hili