Mimi nimesema tu ukweli uliopo mkuu,wala sihusiki na hilo tatizo,NASA ndio wabaya wetu.Hawa jamaa wana technologies za kutisha sana,wana uwezo wa kuzima National Grids zote duniani at once na kuzima chote chote kinachotumia umeme, hata ubongo wako!Sitishi lakini ndio ukweli.imerudi saa hivi voda, Haya yote amesababisha Mathanzua kwa kuleta solar frare bongo
Nini kimesababisha hiyo marine cable kupata hitilafu? Siku ya pili leo siwezi kufanya kazi yoyote. At least leo whatsapp na baadhi ya website nafungua hapa ArushaTheory yangu mkuu,
Uliosumbua ni waya wa Baharini, ila waya za Kwetu humu ndani hazijaathirika, site ambayo ina server South ama Kenya ama nchi ambayo ni ya Africa unaweza ukai access bila shida ila server za Mabara tofauti zinazotumia route za Bahari zinasumbua.
Kwangu dogo kashinda youtube haijamsumbua, ila site nyengine bila bila.
Nimecheki vyombo vya habari hakuna sababu ya uhakika, ILa imekatwa, inaweza kuwa sabotage ama ikawa bahati mbaya tu, hatujui, ngoja wafanye uchunguzi.Nini kimesababisha hiyo marine cable kupata hitilafu? Siku ya pili leo siwezi kufanya kazi yoyote. At least leo whatsapp na baadhi ya website nafungua hapa Arusha
Hapo mkuu swala zima ni upigajiStar link walikuja kuondoa ishu za cables watu wakaona hawapati sehemu ya kupigia wakawatimua
Kuna wizara inahitaji professional sio makada na chawa.. wao wanajua kazi kubwa ya internet ni kupost Tu twitter na Instagram
Hapa tunatumia Jamii Forum mkuu server zake Ziko nchi gani?Theory yangu mkuu,
Uliosumbua ni waya wa Baharini, ila waya za Kwetu humu ndani hazijaathirika, site ambayo ina server South ama Kenya ama nchi ambayo ni ya Africa unaweza ukai access bila shida ila server za Mabara tofauti zinazotumia route za Bahari zinasumbua.
Kwangu dogo kashinda youtube haijamsumbua, ila site nyengine bila bila.
Ni janga la Afrika mashariki yote, Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania.
Kikubwa ukitumia na VPN inajitajidi.
Sijui mkuu, ila nimesoma BBC wana re route traffic kwenda waya zingine ambazo hazipitii huko msumbiji, maybe kuna website muhimu muhimu kwao wamezipa priority traffic zake. Ila jf imerudi kwa speed nzuri.Hapa tunatumia Jamii Forum mkuu server zake Ziko nchi gani?
Tumia TTCLInternet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu
Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu.
Wewe unatumia mtandao gani, Je kuna nafuu ??
Usafiri hasa wa anga haujaathirika?Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu
Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu.
Wewe unatumia mtandao gani, Je kuna nafuu ??
Huyu mwamba hua ana habari zake kuzielewa hadi uwe umevurugwa.imerudi saa hivi voda, Haya yote amesababisha Mathanzua kwa kuleta solar frare bongo
Changamoto hii fault sio ya tigo, voda, airtel wala halotel kwanini wao wawe responsible?Hizi MB tulojiunga watakuja kuturudishia. sababu hazitumiki na iifika muda zinaexpire