kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Ninachojiuliza ni kwamba Impact kwa nchi nyingine zilizomkaribisha elon na starlink yake iko vp? Mfano kenya? Nao wamekua disrupted kama sisi?Sijui mkuu, ila nimesoma BBC wana re route traffic kwenda waya zingine ambazo hazipitii huko msumbiji, maybe kuna website muhimu muhimu kwao wamezipa priority traffic zake. Ila jf imerudi kwa speed nzuri.
sisi ni vile hatuna mchango mkubwa ndio maana dunia haijaathirika sana. Ila mwenye Starlink ama Satelite internet yoyote atakua hajaathirika, ama anayetumia route ambayo haijakatika maana zipo undersea cable zaidi ya 10.Ninachojiuliza ni kwamba Impact kwa nchi nyingine zilizomkaribisha elon na starlink yake iko vp? Mfano kenya? Nao wamekua disrupted kama sisi?
Nauliza hvo sababu ili kupata huduma fln inategemea huyo provider wako na yeye kama ana connection, mfano kama webserver ipo tz, na internet imekatwa kwa tz, mtu aliepo marekani hata kama yupo kwenye connection 100mbps hatoipata hio webserver
Anhaaa.. nimekupata mkuu. Shukran.sisi ni vile hatuna mchango mkubwa ndio maana dunia haijaathirika sana. Ila mwenye Starlink ama Satelite internet yoyote atakua hajaathirika, ama anayetumia route ambayo haijakatika maana zipo undersea cable zaidi ya 10.
hapa inaonekana sisi tumebeti njia moja tu
Hizi cable zipo nyingi, na kuna mdau kaposti Tigo pekee ndio wana Alternate route ya Madagascar, kwenye hio Ramani ina maana ni hio link ya 1.2TBps, so Isp wetu wote walikua wanategemea hio iliokatika.
Kenya Hawajaathirika kama sisi probably sababu wanatumia Route zaidi ya moja.
wewe ukinunua vitu dukani ukaviacha uvipitie ukirudi.Changamoto hii fault sio ya tigo, voda, airtel wala halotel kwanini wao wawe responsible?
Sasa ikiwa mimi nimewalipa wao kwa ajili ya kupata huduma kwanini wasie responsible.Changamoto hii fault sio ya tigo, voda, airtel wala halotel kwanini wao wawe responsible?
Usichokoelewa ni kimoja wao wenyewe ni wateja kama wewe wa hii huduma ya internet na fault haipo katika control yaoSasa ikiwa mimi nimewalipa wao kwa ajili ya kupata huduma kwanini wasie responsible.
Au daktari ndio atakua responsible?
Changamoto hii fault sio ya tigo, voda, airtel wala halotel kwanini wao wawe responsible?