Internet service provider

Sio tu smartphone, matumizi ya internet yanaweza kuwa extended zaidi.

Siku hizi kuna Smart TV

Haya makampuni sijui kwanini yana jazana sehemu moja na kuacha maeneo mengi yenye uhitaji mkubwa wa internet.
 
Yeah, watu kariakoo siku hizi hawalipi ving'amuzi, ni mwendo wa streaming mwanzo mwisho.
Wawekezaji njooni huku mnakukuona remote sana.. wateja wapo
 
Zuku Bei gani
 
Yaani hizi ngonjera zote zikiendelea tutajikuta page ya 100 bila kupata Jibu La maana Kuliko yote.....

BEI ZENU NA PACKAGE ZENU ZIPOJE ?
 
Radio mkuu.
unajibu kwa busara sana... Jitahidi hivo hivo si unajua tena watu na fake ID zao...
sasa vp na kuhusu mikoani eg.kanda ya ziwa kuna ela sana coz migodi mingi kwanini usipeleke na huko wapate huduma...
 
Yeah, watu kariakoo siku hizi hawalipi ving'amuzi, ni mwendo wa streaming mwanzo mwisho.
Wawekezaji njooni huku mnakukuona remote sana.. wateja wapo
Kariakoo kuna Internet kwa hisani ya fiber au wana stream namna gani? Kasi yake ikoje? Hata mimi siku hizi ni mwendo wa ku-stream tu, IPTV. Naweza kuangalia almost TV za nchi karibu zote.
 
Sio tu smartphone, matumizi ya internet yanaweza kuwa extended zaidi.

Siku hizi kuna Smart TV

Haya makampuni sijui kwanini yana jazana sehemu moja na kuacha maeneo mengi yenye uhitaji mkubwa wa internet.
Siyo gharama za kuweka infrastructure zao ziko juu kweli? Na pia wateja wanaweza kuwa wachache hasa sehemu za Uswazi. Kwa mfano fiber utaipitisha namna gani huko Uswazi kusiko na mipango miji? Kwa kutumia milingoti kama umeme?
 
Policy yao ni kuwa sehemu yeyote wakitokea wanaohitaji zaidi ya 10 wanakuja kuwafungia.

Maana yake hapo kikwazo sio mji kutopangika vizuri na ndio maana Kigamboni ambako kumepangiliwa vizuri bado hakuna makampuni yaliyowekeza huko.

Ni sawa na Gofiber nao wana sera hizo hizo nilijaza fomu online nikapigiwa simu kuwa ili waje kuleta fiber katika maeneo ambayo nipo wanatakiwa watu wanaoomba wawe zaidi ya kumi.

Akaniambia niendelee kushawishi watu wazidi kutuma maombi kama nilivyofanya mimi.

Wakati watu wengine huku mtaani wanaweza wasijue nini maana ya fiber ila wakikuona wewe unatumia internet unlimited kwa gharama nafuu wanaweza kukuulizia ili nao wapate.
 
unajibu kwa busara sana... Jitahidi hivo hivo si unajua tena watu na fake ID zao...
sasa vp na kuhusu mikoani eg.kanda ya ziwa kuna ela sana coz migodi mingi kwanini usipeleke na huko wapate huduma...
Tutafika mkui
 
Yaani hizi ngonjera zote zikiendelea tutajikuta page ya 100 bila kupata Jibu La maana Kuliko yote.....

BEI ZENU NA PACKAGE ZENU ZIPOJE ?
Package zetu zitakuwa rafiki na nafuu sana. Tunasibiria TCRA license. Kwa sasa installation ya towers inaendelea
 
Upo sawa kabisa kaka, kufunga tower ni gharam maana kuna umeme unalipia, hivyo ukisambaza fomu watu wakafika angalau kumi ni rahisi kuja kuwafungia radio yao hapo wote wa eneo hilo wakanufaika. Karibu sana
 
Tunataka kujua packages zenu zipoje na bei zake mnauzaje.

Hili ndio swali la msingi kwa wakati huu
 
Package zetu zitakuwa rafiki na nafuu sana. Tunasibiria TCRA license. Kwa sasa installation ya towers inaendelea
Zitakuwa??

Ina maana yake saizi hakuna bei rasmi ambayo mmeipitisha?.
 
Tunataka kujua packages zenu zipoje na bei zake mnauzaje.

Hili ndio swali la msingi kwa wakati huu
Scars package tutakubaliana na mteja, anataka speed gan? Na matumizi yake yapoje? Mfano anataka kwaajili ya home kucheki movie, kuperuzi, na matumiz ya smartphone kawaida. Atapewa speed inayoendana na matumizi yake kwa bei rafiki na nafuu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…