Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sio tu smartphone, matumizi ya internet yanaweza kuwa extended zaidi.Yaani mfano Zuku wangekuwa wamefika Kibamba, Mpiji Magohe, Mbezi Msakuzi nk wangezoa sana wateja. Sawa ni nje ya mji ila siku hizi wakazi karibu wote wana smartphones, na smartphone bila internet - hakuna kitu. Makampuni ya simu bei zao ni katili ila wananchi wanakomaa nazo. Wawekezaji fungukeni, wateja wapo.
Siku hizi kuna Smart TV
Haya makampuni sijui kwanini yana jazana sehemu moja na kuacha maeneo mengi yenye uhitaji mkubwa wa internet.