Internet Sharing Point to Point

Internet Sharing Point to Point

JAXPAROW95

Member
Joined
Feb 7, 2016
Posts
71
Reaction score
26
Habari wadau, nahitaji msaada wa mtu mwenye utaalamu/ufahamu wa kufunga internet point to point, kwa maana kwamba Nina Fiber internet access kwenye ofisi yangu moja point A(Tandale Chama) na ofisi ya pili Iko Point B(Sinza Mugabe) kama 3KM hvi.

Nataka kushare hii fiber connection kwenye ofisi zote, nmefatilia nimeona Kuna vifaa vya Ubiquit vinaweza kufanikisha lakini nahitaji mtu mwenye utaalamu kwa msaada zaid.

Niko teyari kufanya malipo kwa huduma.

Napatikana WhatsApp 0755660639
 
Mkuu kama utahitaji router ninayo mpya kabisa nicheck,nilichukua kwaajili ya kufunga fibre lakini sikufanikiwa..0715860702
 
Back
Top Bottom