robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 526
- 1,524
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
corporate office au personal hii kitu?Aya wakuu, weka picha tuone speed Yako ya internet Leo
Tumia FAST kujua speed ya internet inayotumia
Mimi naanza👇🏿View attachment 2895853
Hii Ni fibre au Maana speed Hiyo Duh iko poa sanaAya wakuu, weka picha tuone speed Yako ya internet Leo
Tumia FAST kujua speed ya internet inayotumia
Mimi naanza👇🏿View attachment 2895853
Huu ushauri uzingatiwe wakubwa kuna mtu atauona uzi mbaya hapa.Kama unajiunga bado la jero au buku usijaribu hii kitu, au unatumia voda.
Speed ikisoma 100Mb inamaana mb 100 zemeenda na maji
kijiji hiyo
Hukuacha pia imalize kabisakijiji hiyo
panda za Homboza, shuka mwishoHukuacha pia imalize kabisa
Zaidi ya hapo 100mbps inamaana megabit kwa sekunde, kama test ni sekunde 10 ina maana Gb 1 imekwenda na maji.Kama unajiunga bado la jero au buku usijaribu hii kitu, au unatumia voda.
Speed ikisoma 100Mb inamaana mb 100 zemeenda na maji
Gb 1 siyo nyingi mkuu ni sawa na MB 125 tuZaidi ya hapo 100mbps inamaana megabit kwa sekunde, kama test ni sekunde 10 ina maana Gb 1 imekwenda na maji.