Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Sekunde 10 nimetoa kama mfano, kuna Mdau alipost speedtest yake imekula MB400. Kwa vifurushi vya kupima mdau yupo sahihi kutoa Onyo.Gb 1 siyo nyingi mkuu ni sawa na MB 125 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sekunde 10 nimetoa kama mfano, kuna Mdau alipost speedtest yake imekula MB400. Kwa vifurushi vya kupima mdau yupo sahihi kutoa Onyo.Gb 1 siyo nyingi mkuu ni sawa na MB 125 tu
Mkuu upo ukanda Gani[emoji28][emoji28]
Hii ni utawala kaka
Ni huzuni😅😅Voda nayolipia 115,000 kwa mwezi[emoji17]View attachment 2897212
Hii speed inamkamata mchawi , kha!View attachment 2896262
Mtandao supa
Nje ya mada bro..Tigo LTE advance
View attachment 2900175
97MbpsAya wakuu, weka picha tuone speed Yako ya internet Leo
Tumia FAST kujua speed ya internet inayotumia
Mimi naanza👇🏿View attachment 2895853
Situmii tapa talk mkuu, mda sana sija tumia.Nje ya mada bro..
Samahani, nlkua natumia JF kwenye Tapatalk sasa mwaka jana mwezi wa 12 nikawa nashindwa kupata notifications za JF kwenye Tapatalk ikanibidi ni logout na kulogin ila nikawa nashindwa kuconnect Tapatalk na JF kwa email kama zamani naambiwa Verifying with no response. Nikaona isiwe shida kuna option ya kuconnect manually ila sasa nmeconnect ila sipati notifications kabisa za JF kwenye Tapatalk kama zamani, nmeona ww unatumia Tapatalk vipi unatumiaje? Unapata notifications kama kawa?
Mimi natumia hapa ila haipush notifications kabisa zozote za JF na kila kitu nmeset ON hasa upande wa notifications.
View attachment 2900827
😃😃 Nlkua kwenye TapaTalk nmeona ka icon ka Tapatalk kwenye account yako nikajua unatumia! Hapa natumia android ila nmelogin kwenye browser na nika install asa PWA sema sijazoea kabisa! Nlkua nmeizoea Tapatalk, N'way ngoja nijizoeze mdogo mdogo labda ntazoea...Situmii tapa talk mkuu, mda sana sija tumia.
Umejaribu kutumia Pwa? Unaingia jf kwa browser Kubwa kama Firefox kisha unabonyeza menu ya Firefox unachagua install unaweka hio Pwa (progressive web app) inakua ni kama browser kawaida ila utapata notifications na features za ziada.
Homboza hiyo, wiki ya 2 sasa hali ipo ivyoMkuu upo ukanda Gani[emoji28][emoji28]