Internet TV station

Internet TV station

bado nipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
303
Reaction score
43
Nataka kuanzisha internet tv station ili niwe natengeneza vipindi mbalimbali na kuvi rusha kwa njia ya mtandao tu je wapi naweza kwenda sajiri ili niweze kulinda haki zangu
 
Nijuavyo mimi hakuna sheria ya moja kwa moja inayokutaka uende TCRA ili upewe kibali cha kufungua Internet TV au Internet Radio kwani hizo utaziendesha kwa kutumia website ambayo mipaka yake ni zaidi ya Tanzania. Unapofungua website auhitaji kibali toka TCRA, au hata unapostream kitu kwenye internet auhitaji hicho kibali. Ila kwa kuwa kuna sheria ya makosa ya mtandao ambayo nayo sidhani kama imezungumzia chochote SPECIFICALLY kuhusu internet Radio na internet TV, nakushauri si vibaya ukapata ushauri kutoka TCRA, ila sidhani kama kwa utaratibu wa sasa kuna kibali maalum kutoka kwao. Unaweza kuanzisha bila kibali chao ila kama iivyo kwa blogs na website zote zingatia sheria iiyopo kwa vile utakavyokuwa unavirusha. I stand to be corrected!
 
aksante mkuu je kulinda haki ya jina la kituo changu
 
Kama unataka kulinda jina la biashara yako wahusika wakuu ni BRELA. Ukienda huko utapata Clearance ya jina la kampuni/business name yako pamoja na usajili.....na hapo utaendelea na mambo mengine......
 
Back
Top Bottom