Internet ya kumwaga Kenya, tena ya bei nafuu

Haha sawa mkuu.
 
Katika hiyo Sentensi yako, Mtz angeandika hivi; "labda useme kinachotofautisha ni lafudhi.

Pamoja na utofauti wa lafudhi lakini pia huwezi kupinga utofauti wa matumizi ya maneno na uundaji wa sentensi kwa watz na Wakenya.
Upo sahihi. Kuna tofauti ya muundo wa sentensi kati ya Tz na Ke. Ila Wapwani wa Kenya wanaongea kiswahili sanifu sawia na Wazanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…