Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

Joined
Apr 16, 2021
Posts
83
Reaction score
118
Tangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa.

Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet, speed n ndogo sana kiasi cha kwamba unaweza hisi unatumia 2G wakati upo na 4G Vodacom.
 
Tangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa
Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet,speed n ndogo sana kiasi cha kwamba unaweza hisi unatumia 2G wakati upo na 4G
Vodacom.
Hivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahau
 
Ila si kwa wakati wote.ni kweli kuna wakati pia network inakiwa down,ila wakati mwingi iko stable.Sema pia chunguza uwezo wa simu yako
 
Kimsingi baada ya Malalamiko kuwa bando la Voda halikai chanzo ilikuwa Speed kali! Sasa wameipunguza ili bando liweze kudumu mda mrefu bado mnalalamika
wametuwekea speed ya kobe, mpka kudownload kitu cha Mb 30-50 uanze kusubiria mpka dk 15- 30 kweli kwa dunia hii ya leo -- wafanye kuweka speed ya kawaida isiyochosha Wala kukera--
 
Hivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahau
Kama upo dar Kuna kifurushi cha DAR SUPER UNI, ambacho kipo ndani ya --- ya offer ya kwako tu-- katika zile menyu zao za cheka offers

Ila KWA bahati mbaya niliwahi endaga mkoani nikakuta ndani ya hio offer ya kwako tu kwa watu wa mikoani offer hiyo imepunguzwa, sikujuaga mpka leo shida n nn KWA mfano KWA dar unaweza pewa 1gb Kwa 1000 Ila mkoa ukapata hata 350mb kwa hiyo hiyo 1000

Labda endelea kusubiria
 
Kimsingi baada ya Malalamiko kuwa bando la Voda halikai chanzo ilikuwa Speed kali! Sasa wameipunguza ili bando liweze kudumu mda mrefu bado mnalalamika

Ukiulizwa “How Tanzanian are you?” Hilo ndo jibu[emoji23][emoji23]
 
Tembelea ya kwako Ofa
Ya kwako tu ofa ndio hizo hapo kwenye options nnazoletewa kwa wengine naona iko tofauti
Screenshot_20210617-190501.jpg
 
Back
Top Bottom