Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

Kama upo dar Kuna kifurushi cha DAR SUPER UNI, ambacho kipo ndani ya --- ya offer ya kwako tu-- katika zile menyu zao za cheka offers

Ila KWA bahati mbaya niliwahi endaga mkoani nikakuta ndani ya hio offer ya kwako tu kwa watu wa mikoani offer hiyo imepunguzwa, sikujuaga mpka leo shida n nn KWA mfano KWA dar unaweza pewa 1gb Kwa 1000 Ila mkoa ukapata hata 350mb kwa hiyo hiyo 1000

Labda endelea kusubiria
Kwangu Dar super uni na ya kwako tu ofa zote ziko sawa hamna kilichobadilika
Screenshot_20210617-190501.jpg
 
Back
Top Bottom