NORTH GOLD MINE
Member
- Apr 16, 2021
- 83
- 118
Hivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahauTangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa
Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet,speed n ndogo sana kiasi cha kwamba unaweza hisi unatumia 2G wakati upo na 4G
Vodacom.
Tembelea ya kwako OfaHivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahau
Mkuu, hata nami bado napata hivyo vilivyopanda bei. Eti 2,000/=, napewa mb 500/=! Niliwapigia, wakaniambia eti nisubiri tu, "ya kwako" itakuja!Hivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahau
Ila si kwa wakati wote.ni kweli kuna wakati pia network inakiwa down,ila wakati mwingi iko stable.Sema pia chunguza uwezo wa simu yakoTangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa
Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet,speed n ndogo sana kiasi cha kwamba unaweza hisi unatumia 2G wakati upo na 4G
Vodacom.
Kuanzia mida ipi Mana mimi nalala 0000 hrs .naamka 0530 hrsrudi kwny CHA ASUBUHI mkuu.
ndio, internet ipo chini, unaweka bando lakini litakuwa la kusomea message za whatsup, telegram, etc kwenye Mambo mengine mf kudownload ni miyeyushounamaanisha internet?
[emoji122] wanatuibia Sana Hawa watu yaani,Hawa jamaa ni wezi nimewapigis mara nyingi sana kuhusu speed ndogo ya vifurushi sasa nimechoka naenda nyumbani kulikonoga
wametuwekea speed ya kobe, mpka kudownload kitu cha Mb 30-50 uanze kusubiria mpka dk 15- 30 kweli kwa dunia hii ya leo -- wafanye kuweka speed ya kawaida isiyochosha Wala kukera--Kimsingi baada ya Malalamiko kuwa bando la Voda halikai chanzo ilikuwa Speed kali! Sasa wameipunguza ili bando liweze kudumu mda mrefu bado mnalalamika
Kama upo dar Kuna kifurushi cha DAR SUPER UNI, ambacho kipo ndani ya --- ya offer ya kwako tu-- katika zile menyu zao za cheka offersHivi hivyo vifurushi mbona kwangu havijarudishwa kama zamani? Au wamenisahau
[emoji106]Ila si kwa wakati wote.ni kweli kuna wakati pia network inakiwa down,ila wakati mwingi iko stable.Sema pia chunguza uwezo wa simu yako
Kimsingi baada ya Malalamiko kuwa bando la Voda halikai chanzo ilikuwa Speed kali! Sasa wameipunguza ili bando liweze kudumu mda mrefu bado mnalalamika
Ya kwako tu ofa ndio hizo hapo kwenye options nnazoletewa kwa wengine naona iko tofautiTembelea ya kwako Ofa
Tumia hio hio ndio ya kwakoYa kwako tu ofa ndio hizo hapo kwenye options nnazoletewa kwa wengine naona iko tofautiView attachment 1821864