xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
Habari GT
katika pitapita zangu humu educational forum,kuna topic fulani ya 2011 inayohusu ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu..kuna post nzuri ambayo GT mmoja aliileta ili kusaidia wanafunzi wa mavyuoni kuepukana na tatizo la ajira..
Namnukuu
"Ni vizuri zaidi mwanachuo awapo chuoni ajihusishe na internship na part time jobs,hii itamjengea ustadi mzuri katika fani yake na kumwezesha kupata connections nyingi,hivyo kumrahisishia upatikanaji wa ajira pindi amalizapo chuo"
Wakuu ningeomba mnijuze yafuatayo;
1.je hii mbinu inawezekana/inatumika katika system ya elimu ya tanzania
2.kama (ndio) je ni vipi mwanafunzi anaweza kubalance ratiba ya masomo na ratiba ya kazi,,kama (hapana) je ni njia gani linaweza kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu
Nawasilisha