Internship and part time jobs for university students

Internship and part time jobs for university students

internship inawezekana na unaweza bana muda wako wa masomo vzur....bt it depends na mkataba kati yako ww na hyo manager..wachache sana n waelewa n wanaweza kuruhus io kituuuuu,kufanya kaz kwa masaa machache ambayo utahis ww upo freee,bt dis z much aplicable kwa nch za wengne cjajua kwa hapa tz...ila kuna baadh ya vyuo wanatoa lkizo kwa mda mrefu,hvyo bas huo muda wa likzo ndio muhimu kwako ww kjtengenezea ajra bdaeeee...eg.mzumbe wana likizo za muda mrefu xana kama miezi mi4 iv tofaut na field ,,,,,kwa mtu ambae znasoma kichwan hio ndo tym ya kufanya part tym jobs na kmake chanelz za kaziii aftr chuoooo..

Safi mkuu kwa mchango wako,,aka kasystem ka likizo ndefu kangekua kapo vyuo vyote ingekuwa vizuri zaidi
 
mbaruck nashukuru kwa mchango wako,but nina swali 1 la msingi
yah kwa hapa bongo mara nyingi internship na field inakuwa kitu kimoja!wakat mwengine mwanafunzi ukifika ehem ulipopangiwa una shiriki ktk shughulo zote za uyo sehem wakati mwengine wanakulipa kutegemeana na kazi na iyo ofisi or company unayofanyia field or internship


Haya maelezo mkuu yamenichanganya kidogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom