Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
ok fine I have poor thinking capacity,but mediator will judge how exremely foolish and feeble minded you are...WTF-FTW you
Vyuo vingi wanafunzi hufanya practical training, baadhi hufanya wakiwa mwaka wa kwanza au wapili (hutegemea na kozi).
Tatizo ni kwamba field hufanywa kwa muda mfupi miezi mmoja hadi miwili amboyo haimpi mwanafunzi uzoefu wakutosha.
Njia mbadala ya kupata uzoefu ni kufanya part time jobs lkn wanafunzi wengi hushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa mwongozo.
Al-shabaab together let's build our poor nation with great possession of resources!!..#PEACEpeace & love xir jyerphy
Al-shabaab together let's build our poor nation with great possession of resources!!..#PEACE
Nimepata darasa mkuu,.huu mfumo wa internship unatofauti gani na field study
Mnachanganya internship na field. Internship ni pale mtu anapokuwa amehitimu masomo yake na kwenda kufanya kazi chini ya uangalizi. Hii hutumika hasa pale mtu anapohitaji kupata usajili wa mamlaka fulani mf daktari aliyesajiliwa, wakili(siku hizi wanafanya law school) nk. Na field ni pale mwanafunzi anapofanya mazoezi kwa vitendo ili kuwa exposed na jambo fulani.
Nimepata darasa mkuu,.huu mfumo wa internship unatofauti gani na field study
There you are, Vipi kuhusu attachment studies
Mnachanganya internship na field. Internship ni pale mtu anapokuwa amehitimu masomo yake na kwenda kufanya kazi chini ya uangalizi. Hii hutumika hasa pale mtu anapohitaji kupata usajili wa mamlaka fulani mf daktari aliyesajiliwa, wakili(siku hizi wanafanya law school) nk. Na field ni pale mwanafunzi anapofanya mazoezi kwa vitendo ili kuwa exposed na jambo fulani.
Habari GT
katika pitapita zangu humu educational forum,kuna topic fulani ya 2011 inayohusu ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu..kuna post nzuri ambayo GT mmoja aliileta ili kusaidia wanafunzi wa mavyuoni kuepukana na tatizo la ajira..
Namnukuu
"Ni vizuri zaidi mwanachuo awapo chuoni ajihusishe na internship na part time jobs,hii itamjengea ustadi mzuri katika fani yake na kumwezesha kupata connections nyingi,hivyo kumrahisishia upatikanaji wa ajira pindi amalizapo chuo"
Wakuu ningeomba mnijuze yafuatayo;
1.je hii mbinu inawezekana/inatumika katika system ya elimu ya tanzania
2.kama (ndio) je ni vipi mwanafunzi anaweza kubalance ratiba ya masomo na ratiba ya kazi,,kama (hapana) je ni njia gani linaweza kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu
Nawasilisha
Naogopa kutofautiana na wewe,
inategemea na kozi unayosoma kuna baadhi ya kozi huwezi kupata mda huo kutokana na nature ya msuli ... kwa hiyo angalia nature ya msuli kama unaruhusu fanya ...
Mimi nadhani haya ni majina tu, kwa walimu - walio mafunzoni wanaita nadhani "BTP" - kama nimekosea watanisahihisha wakiwa na maana Block Teaching Practice, na hufanywa na walimu walio mafunzoni hasa wa vyuo diploma na cheti wakiwa likizo. Mzumbe wao walikuwa wanaita research,UDSM walikuwa wanasema "Field" au "practical training" au "field attachment" lakini kama nilivyosema kuwa yote ni majina na yakiwa na maana kuwa - kwa kipindi fulani "wiki,mwezi au mwaka" utakuwa/ umepangiwa taasisi,ofisi, shirika au kampuni fulani na kufanya mafunzo kwa vitendo ili ulinganishe yanayofundishwa shuleni na uhalisia huko duniani, nadhani ni exposure nzuri kama itakuwa imepangwa vizuri na si kama ilivyo sasa,haithaminiwi
mbaruck nashukuru kwa mchango wako,but nina swali 1 la msingi
Hizi internship mnazifanya at the same time mnafanya na field??ama ukifanya internship ndo na field umefanya..
utaratibu wa Internship ni mzuri kwa University gradu. na hata kwa serikali kwa ujumla. Huu utaratibu sasa hivi umebaki kwenye fani ya Afya tu(1year), zamani uliuwepo kwenye fani ya sheria(6 months) lkn baada ya introdu. of Law sachool graduates wote wa Law wakishapitia hiyo basi wanakuwa mawakili na wanaweza kujiajiri au kuajiriwa na serikali.
Internship inamsaidia gradu. aweze kuzoea mazingira ya kazi na kwa upande mwingine ingeweza kusaidia serikali kupunguza shortage ya H.R (rasilimali watu). Tofauti na Field ambayo yenyewe mwanafunzi anakuwa hajafuzu masomo yote na anakuwa field kwa ajili ya kujifunza tu i.e kama ilivyokufanya practical za chemistry.@ xir jyerphy
mbaruck nashukuru kwa mchango wako,but nina swali 1 la msingi
yah kwa hapa bongo mara nyingi internship na field inakuwa kitu kimoja!wakat mwengine mwanafunzi ukifika ehem ulipopangiwa una shiriki ktk shughulo zote za uyo sehem wakati mwengine wanakulipa kutegemeana na kazi na iyo ofisi or company unayofanyia field or internship
Safi sana bro. Chemiker,.kwanini hii system haiingizwi kwenye fani zingine kama accounts,education,agriculture,engineering nk
Nashukuru, Serikali na Wadau hawajajipanga vyema.Nilikuwa na rafiki yangu Mjerumani alikuwa undergraduate alikuja kufanya internship yake S.A yaani mpaka nilikuwa naona wivu.Angekuwa upo Tz ungekuta kashachukua gamba lake la Degree maana alikuwa anafanya mambo ya Logistics.Mbaya zaidi alikuwa anasema akimaliza tu anaweza akafungua company yake maana ameshapata kaujuzi ka kumtosha.
Lkn Tz watu wengi wanasoma ili kupata cheti tu, matokeo yake wakipata hivyo vyeti haviwezi kuwasaidia.Yaani unakuta mwingine yupo radhi alipe tu hiyo Fees na kuchukua cheti chake kwenda mtaani kumbe tunajiharibia wenyewe future zetu kwa kukosa Know-ledge ya kutosha hata kujiajiri.@xir jyerphy