Hongera sana, Hata kama hawalipi, maisha haya ya sasa uzoefu ndio kila kitu na ni kama ulivyokuwa shule kuna namna ulikuwa unaomba support, waweke wazi nduguzo watakusaidia pale utakapokuwa na changamoto
bora uende tu upate ujuzi na connection ambayo itakusaidia sana siku za mbeleni
Na pia taesa huwa wanatoa hela ya nauli na msosi kiasi, itakusaidia wakati huo unajitafuta