Internship WVT

Internship WVT

Dinah16

New Member
Joined
Jun 10, 2023
Posts
4
Reaction score
4
Hello Wanajf nimeitwa internship WVT kupitia Taesa ila ni mkoa tofauti na nilipo, kwa mwenye experience anijuze kama WVT wanalipa interns pia au inakaaje?
 
Hongera sana, Hata kama hawalipi, maisha haya ya sasa uzoefu ndio kila kitu na ni kama ulivyokuwa shule kuna namna ulikuwa unaomba support, waweke wazi nduguzo watakusaidia pale utakapokuwa na changamoto

bora uende tu upate ujuzi na connection ambayo itakusaidia sana siku za mbeleni

Na pia taesa huwa wanatoa hela ya nauli na msosi kiasi, itakusaidia wakati huo unajitafuta
 
Back
Top Bottom