Internship za kilimo na mifugo nchini Marekani (j1 internships)

Internship za kilimo na mifugo nchini Marekani (j1 internships)

Ottician

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
103
Reaction score
81
Wakuu Habari za majukumu, Natumai kazi inaendelea...

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kujua undani, ubora na fursa katika internships za nje ya nchi hasa nchini marekani kwa baadhi ya waliokwisha fanya na wenye uzoefu nazo katika vipengele vifuatavyo:-

1. Zinawajenga wahusika kama walivyotegemea?

2. Kama taifa tunawatumia vipi vijana wanaorudi kutoka nje na ujuzi huo wa vitendo.

3. Mazingira ya upatikanaji wake kwenye gharama, na taratibu zote yanamuwezesha kijana mhitimu wa hali ya nchini kumudu?

4. Ufatiliaji wa kinachoendelea pindi wawapo nje, wanatumika ipasavyo na kupata stahiki zao au wanatumika kama vibarua tu.

Na mwenye ufafanuzi zaidi. Karibuni
 
Tulia Hapo Hapo Ndiyo Wametoka Kanisani Wanakuja
 
Back
Top Bottom